Home Events Matukio na Picha Mbalimbali za Kongamano la tano la Diaspora

Matukio na Picha Mbalimbali za Kongamano la tano la Diaspora

262
0
Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein akiwasili katika viwanja vya Tibirinzi na kupokelewa na Viongozi mbalimbali.
Mhe. Rais wa Serikali Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akihotubia wakati wa Kongamano.
Pichani ni, Waziri wa Ofisi ya Rais Zanzibar, Mhe Issa Haji Ussi Gavu (kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali  ya Tanzania, Mhe. Balozi Ramadhan Mwinyi (Kati), pamoja na Katibu mkuu  Ofisi ya Raisi Zanzibar, Mhe Salum Maulid (kushoto)
Picha ya pamoja ya Viongozi na baadhi ya Wanadiaspora.
Baadhi ya Wanadiaspora wakichangia na kuuliza maswali wakati wa Kongamano

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here