Home Events RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TANO LA TANZANIA DIASPORA TIBIRINZI PEMBA

RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TANO LA TANZANIA DIASPORA TIBIRINZI PEMBA

352
0

proxy?url=http%3A%2F%2Ffullshangweblog.com%2Fhome%2Fwp-content%2Fuploads%2F2018%2F08%2FDSC_1892-1024x716
Baadhi ya Wanadiaspora wakisimama wakati Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Tanzania wakati wa Uzinduzi wa Kongamano la la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018.proxy?url=http%3A%2F%2Ffullshangweblog.com%2Fhome%2Fwp-content%2Fuploads%2F2018%2F08%2FDSC_1903-1024x722
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakipiga makofi baada ya wimbo wa Taifa wa Zanzibar,Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioimbwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018.proxy?url=http%3A%2F%2Ffullshangweblog.com%2Fhome%2Fwp-content%2Fuploads%2F2018%2F08%2FDSC_1944-1024x720
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Viongozi mbali mbali na wanadiaspora katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018.proxy?url=http%3A%2F%2Ffullshangweblog.com%2Fhome%2Fwp-content%2Fuploads%2F2018%2F08%2FDSC_1979-1024x653
Baadhi ya Wanadiaspora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumzanao pamoja na Viongozi mbali mbali katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 18 Aug 2018

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here