Home Events Kongamano la Kimataifa la Nne la Diaspora Zanzibar Hoteli ya Sea Cliff...

Kongamano la Kimataifa la Nne la Diaspora Zanzibar Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar

379
0

Mwakilishi wa Kampuni ya TIC  Godfrey Mwambe akitowa Mada kuhusiana na Diaspora kuwekeza katika Jamii Nchini, akizungumza wakati wa Kongamano la Nne la Diaspora linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar.

Mwakilishi wa TPSF akizungumzia Mada kuhusiana na fursa kwa WanaDiaspora kuwekeza nyumbani akitowa mada hiyo kwa Watanzania Wanaoishi Nje kutumia fursa hiyo kuwekeza nyumba

Mtanzania anayeishi Nje Nchini Netherlands Dr. Eileen Petit Mshana akichangia wakati wa Kongamano hilo lililofanyanyika katika ukumbi wa hoteli ya Sea Cliff Zanzibar akichangia mada.

Dr. Haroun Maalim akizungumzia Mada kuhusiana na programm ya Kiswahili inayotolewa na Chuo Kikuu cha Suza wakati wa Kongamano hilo la Watanzania wanaoishi Nje Diaspora lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar SUZA inatowa elimu ya Juu katika somo la kiswahili na kuwataka watamzania wanaoishi nje kuja kutowa Elimi hiyo kwa Wanafunzi wanaojiunga katika Chuo hicho kupata elimu ya Kiswahili Zanzibar.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here