Home Events Kongamano la kitaifa la DICOTA

Kongamano la kitaifa la DICOTA

336
0

Bi. Susan Mzee kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Diaspora akiwasilisha Mada kuhusu  Serikali katika kuwashirikisha Diaspora na nini kimefanyika hadi sasa.

Bi. Lulu Mengele, Afisa Mwandamizi kutoka Mfuko wa PPF akiwasilisha mada kuhusu Mfuko huo na umuhimu wake kwa Diaspora wakati wa mkutano wa DICOTA

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa DICOTA kuhusu Nafasi ya Wizara katika kuwashirikisha Diaspora kuchangia Maendeleo ya Nchi Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue katika meza kuu na Balozi Mulamula na wajumbe wengine waliohudhuria mkutano wa DICOTA akiwemo Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Rosemary Jairo.Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwasilisha mada kuhusu Nafasi ya Ubalozi wa Tanzania katika kutoa Huduma kwa Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora). Katika mada hiyo Balozi Mulamula alizungumzia umuhimu wa mawasiliano kati ya Ubalozi na Diaspora na matumizi ya Teknolojia katika kurahisisha mawasiliano hayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here