Site Visit

Participants will have the chance to visit these sites ,

  • Fumba Investment Area

  • Mtoni Marine

  • Sunset Cruise

  • Forodhani

  • Beit Al Ajaib

Meneja Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF )Ndg Khalifa Muumin, akitowa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa huko mbweni Zanzibar wakati wa ziara ya Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora, wakifanya ziara hiyo kujionea hali ya maendeleo ya Uchumi wa Zanzibar katika Sekta ya Uwekezaji kwa Jamii.    
Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora wakimsikiliza Ndg Khalifa Muumin akitowa maelezo ya Mradi huiu wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa Wananchi, zinazojengwa na Mfuko huo.   
Meneja Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  (ZSSF) Ndg Khalifa Muumin, akiwaonesha baadhi ya majengo yanayojengwa katika eneo hilo la Uwekezaji kwa Mfuko huo. 
 
 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

contact us

Dar es Salaam, Tanzania

Call Us: +255688373652, +255754678252

Visitors Counter

177017
Today
This Week
This Month
All days
157
1743
9095
177017